Tiba Herbs | Njia Pekee Ya Kupona Vidonda Vyako Vya Tumbo Kabisa
Utafiti Mpya wa Kisayansi

Njia Pekee Ya Kupona Vidonda Vyako Vya Tumbo Kabisa, Na Kuacha Kutumia Dawa Kila Siku, Ni Kwa Kutumia Mbinu Ya Kuvuruga Na Kusambaratisha Kundi la Bakteria Tumboni.

Kuna kitu cha ajabu nilikutana nacho kwenye utafiti niliokuwa nasoma miezi sita iliyopita, na tangu siku hiyo akili yangu haijaacha kukiwaza.

Ni makala iliyochapishwa mwaka 2023 kwenye jarida linaloitwa Gut Microbes.

Watafiti waligundua jambo ambalo linabadilisha kabisa yale mengi tuliyozoea kuambiwa kuhusu kwa nini vidonda vya tumbo vinagoma kupona.

Hebu sikia walichogundua.

Kila bakteria wa H. pylori peke yake, wale wanaoishi tumboni mwako sasa hivi, wanaosababisha ule muwasho unaokuamsha saa nane usiku, na kufanya kila mlo uonekane kama bahati nasibu… akiwa mmoja mmoja, hana nguvu sana.

Kinga ya mwili wako ina uwezo wa kupambana nao.

Ukiwachukua mmoja mmoja, si wa kutisha hata kidogo.

Ni kama mtu mnyonge anayejifanya mbabe mbele za watu ila akiwa peke yake, hana ujanja wowote.

Sasa, kwa nini vidonda vyako vya tumbo bado haviponi?

Kwa nini umetumia Omeprazole kwa miezi mingi, labda hata miaka, halafu ukiacha tu kidogo, maumivu yanarudi kama hayajawahi kuondoka?

Kwa nini unaacha kula baadhi ya vyakula lakini haisaidii chochote?

Na ile dawa ya mitishamba jirani yako aliyoiapia kwa nguvu zote, kwa nini haikukufanyia kitu?

Jibu ni hili.

Na nitakuelezea kwa lugha rahisi ili unielewe,

Hawa bakteria hawapigani na wewe mmoja mmoja.

Wana mfumo wao wa siri wa kuwasiliana. Ni kama wana simu ya ndani kwa ndani. Wanatumiana ishara za kemikali ili waelewane.

Wakikusanyika wengi sehemu moja, wanatuma ishara. Halafu ishara hiyo inawafanya washambulie kwa pamoja, kwa mpango mmoja.

Kwa pamoja wanayeyusha ute unaolinda tumbo lako.

Kwa pamoja wanachimba kwenye ukuta wa ndani wa tumbo.

Kwa pamoja wanazidi nguvu kinga ya mwili wako.

Ni kama timu iliyopanga mashambulizi, si kila mmoja kivyake.

Watafiti wanaita huu mfumo wa kuwasiliana (quorum sensing).

Mimi nauita Kanuni ya Kundi, au kwa kifupi, Siri ya Kundi.

Na hiyo ndiyo sababu kidonda chako hakiponi, haijalishi umetumia dawa ipi kujitibu.

Dawa zote ulizojaribu, vidonge, antibiotiki, dawa za mitishamba, zote zililenga bakteria mmoja mmoja au zilipunguza tindikali ya tumbo.

Hakuna hata moja iliyogusa ile Siri ya Kundi. Hakuna hata moja iliyovuruga mawasiliano yao ya siri.

Kwa hiyo, kila baada ya kushambuliwa, wanajipanga upya kama timu ya mpira baada ya kufungwa goli.

Halafu wanaendelea kulifanya jeraha libaki wazi kwa muda mrefu sana.

Lakini sasa mambo yanakaribia kubadilika.

Kwa sababu kuna njia mpya ya kuvuruga ile Siri ya Kundi moja kwa moja.

Na kundi likipoteza uwezo wa kupanga mashambulizi kwa pamoja, kila kitu hubadilika.

Ngoja nikuonyeshe ninachomaanisha.

Fikiria Hili

Kabla sijakuonyesha sayansi iliyo nyuma ya hili, nataka ufikirie kidogo.

Hebu fikiria unaamka kesho asubuhi na unachukua kikombe cha chai badala ya kidonge. Sio kwa sababu umeamua kupuuza dawa. Hapana.

Ni kwa sababu hakuna maumivu. Tumbo lako liko kimya.

Lile jeraha lililokuwa wazi kwa miezi au hata miaka, limefungika kweli.

Halafu fikiria unakaa mezani kula ugali na maharage pamoja na familia yako. Huanzi kuhesabu saa kichwani, ukijiuliza, "Baada ya masaa mawili nitateseka?"

Unakula tu. Unafurahia chakula. Tumbo lako linafanya kazi yake kama kawaida. Kama zamani, kabla huu ugonjwa haujaanza kukusumbua.

Fikiria unaenda kwenye harusi, msiba, au mkusanyiko kijijini, halafu unakaa mpaka mwisho.

Hakuna visingizio. Hakuna kukimbilia chooni kwa dharura.

Hakuna kukunja uso mtu akikuongezea chakula. Uko tu hapo. Umetulia. Wa kawaida. Kama watu wengine wanavyokuwa.

Fikiria mwenzi wako anakutazama na kumuona yule mtu aliyemuoa au kuolewa naye.

Sio yule mtu aliyekuwa akidhoofika, kuinama kwa maumivu, kupungua uzito, kupoteza nguvu, na kushindwa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu nyumbani.

Anaona mtu mwenye nguvu tena. Mwenye afya tena. Anayejenga mambo yake tena.

Fikiria zile shilingi zilizokuwa zinaishia dukani kila mwezi. Omeprazole, dawa za ENO, miadi ya daktari, dawa za mitishamba ambazo hazikufanya kazi.

Fikiria pesa hiyo ikienda kwenye ada ya shule.

Kwenye biashara yako.

Kwenye ndoto zako ulizosimamisha kwanza kwa sababu ugonjwa huu ulikula bajeti yako.

Hiyo si hadithi ya kufikirika. Hicho ndicho kinatokea ile Siri ya Kundi inapovunjika na tumbo lako linaanza kupona kweli.

Na ndani ya dakika chache zijazo, nitakuonyesha kwa nini hilo bado halijatokea, na nini hasa kinabadilisha hali hiyo.

Mimi Ni Nani

Jina langu ni Dkt. Alanu Kobelo.


Kwa miaka kadhaa iliyopita, nimejikita kushughulika na tatizo la vidonda vya tumbo vinavyorudi rudi hapa Tanzania.

Nina hudumia watu halisi wanaotoa pesa walizozipata kwa shida, kununua dawa ambazo haziponyi kabisa.

Nimechunguza tafiti kuhusu jinsi bakteria wa H. pylori wanavyojilinda kwa kujificha kwenye tabaka maalum, jinsi wanavyowasiliana kwa siri, na jinsi dawa za asili zinavyoweza kuwaua.

Nimeona kinachofanya kazi na kisichofanya kazi.

Na nimeona mzunguko ule ule wa maumivu ukijirudia kwa mamia ya watu.

Unapata nafuu kidogo. Dalili zinarudi. Unanunua tena dawa. Halafu unakata tamaa tena.

Ninachokuambia leo kimetoka kwenye kazi hiyo. Sio hadithi ya kufikirika.

Sio kitu nilichosoma kwenye kitabu halafu nikaamua kukiuza.

Ni kutokana na kuona watu halisi wakiteseka na vidonda vya tumbo, na kutafuta nini hasa kinapaswa kubadilika ndani ya mwili ili uponaji wa kudumu utokee.

Ukweli Muhimu

Ngoja nikuambie kwa nini mambo yote uliyojaribu hayakufanikiwa.

Sisemi kwa kukulaumu. Nasema ili uelewe. Ukishalielewa hili, utaanza kuangalia matibabu ya vidonda vya tumbo kwa jicho tofauti kabisa.

Umekuwa ukipigana na adui asiye sahihi.

Kila dawa uliyotumia, kila kidonge, kila tiba, kila dawa ya mitishamba, imelenga kitu kimoja kati ya viwili. Ama tindikali ya tumbo, au bakteria wenyewe.

Omeprazole hupunguza tindikali. Inafanya ule muwasho utulie.

Antibiotiki hujaribu kuua bakteria wa H. pylori moja kwa moja.

Dawa za mitishamba, zile za kweli angalau, nazo hulenga bakteria au hutuliza sehemu iliyowashwa tumboni.

Kwenye karatasi, hiyo inaonekana inaeleweka. Tindikali inaunguza. Bakteria wanaharibu.

Ukiondoa vitu hivyo viwili, kidonda kinatakiwa kipone. Sivyo?

Lakini unashangaa haiponi.

Ulitumia Omeprazole, maumivu yakatulia. Ukasema sasa mambo safi. Halafu ukaacha kidogo, maumivu yakarudi. Wakati mwingine yakarudi kwa nguvu zaidi.

Ulitumia antibiotiki. Ukavumilia ladha ya chuma mdomoni na kuharisha. Ukasema basi sasa nimewashinda.

Lakini baada ya wiki chache, dalili zikaanza kurudi pole pole kama mgeni asiyetaka kuondoka.

Ukajaribu ile dawa ya mitishamba rafiki yako aliyokushauri.

Ukapata matumaini kwa siku chache. Halafu hakuna kilichobadilika.

Kisha ukaanza kujiuliza, "Labda mwili wangu umeharibika.

Labda mimi ni mtu wa kuishi na dawa maisha yangu yote.

Lakini sikiliza vizuri. Wazo hilo si sahihi. Mwili wako haujaharibika.

Tatizo ni kwamba dawa zote zilikuwa zinalenga kitu kisicho sahihi.

Lengo halisi si tindikali ya tumbo. Wala si bakteria mmoja mmoja.

Lengo halisi ni ule mfumo wa mawasiliano wanaotumia kujipanga kama jeshi ambalo mwili wako hauwezi kulishinda.

Hebu fikiria hivi.

Kuna mji wenye wezi. Mwizi mmoja peke yake? Polisi wanaweza kumkamata kirahisi. Wanamshika, wanamfunga, kesi imeisha.

Lakini sasa fikiria kila mwizi amepewa simu ya siri ya kuwasiliana.

Ghafla wanaanza kupanga pamoja. Wanajua washambulie lini, wapi, na washambulie sehemu kumi kwa wakati mmoja ili kuwachanganya polisi.

Polisi hawajawa dhaifu. Wezi ndio wamejipanga vizuri.

Hicho ndicho kinatokea tumboni mwako sasa hivi.

Bakteria wa H. pylori wanatumiana ishara za kemikali.

Wakikusanyika wengi sehemu moja, zile ishara zinafika kiwango fulani.

Halafu zinawasha mashambulizi ya pamoja.

Wakati mmoja wanayeyusha ute unaolinda tumbo lako.

Wakati huo huo wanachimba ndani ya ukuta wa tumbo.

Na kwa pamoja wanaizidi nguvu kinga ya mwili wako kwa shambulio ambalo mwili haukuumbwa kulikabili.

Watafiti wamelithibitisha hili.

Utafiti wa mwaka 2023 kwenye jarida la Gut Microbes ulionyesha njia wanazotumia kuwasiliana.

Bakteria hawa wanaongea. Wanapanga.

Wanashambulia kama kundi moja.

Na mradi ule mfumo wao wa mawasiliano, ile Siri ya Kundi, bado inafanya kazi, uvamizi kwenye ukuta wa tumbo lako haukati.

Jeraha haliwezi kufunga kwa sababu mashambulizi hayasiti kwa muda wa kutosha ili uponaji uanze.

Kwa Undani Zaidi

Sasa tuzungumzie kwa nini kila dawa uliyojaribu haikufanikiwa.

Sio ili ujisikie vibaya. Ni ili uelewe kinachoendelea.

Kwa nini Omeprazole na Cimetidine zinakufanya ubaki kwenye mzunguko ule ule.

Dawa kama Omeprazole zina kazi moja tu. Kupunguza tindikali ya tumbo. Hiyo tu.

Zinapunguza ule muwasho, kama kushusha sauti ya redio. Maumivu yanapungua, unahisi kama mambo yameanza kuwa sawa.

Lakini ile Siri ya Kundi bado ipo.

Bakteria bado wanapanga pamoja. Bado wanayeyusha ute unaolinda tumbo. Bado wanachimba ndani ya ukuta wa tumbo.

Jeraha linabaki wazi.

Dawa inafanya usihisi maumivu sana wakati uharibifu unaendelea kimya kimya.

Halafu kuna jambo jingine.

Ukimeza dawa hizi kila siku, mwili wako unaanza kuzoea.

Unajaribu kujirekebisha ili kurudisha tindikali iliyopunguzwa.

Kwa hiyo ukiacha dawa, tindikali hairudi kawaida tu. Inaongezeka zaidi kuliko mwanzo.

Maumivu yanarudi kwa nguvu. Unarudia kidonge tena, ukiamini kabisa huwezi kuishi bila dawa.

Huo si mwili wako kusema umeharibika.

Ni namna dawa inavyofanya kazi, inakufanya uingie kwenye mzunguko wa kuitegemea.

Ukiwa kwenye dawa unahisi nafuu.

Ukiiacha unahisi vibaya.

Kwa hiyo unaendelea nayo. Wakati huo wote, kidonda kiko pale chini kimya kimya.

Mwaka unaenda, mwingine unakuja.

Cimetidine ni hadithi ile ile, ila kwa bei nafuu zaidi.

Na kwa matumizi ya muda mrefu, inaweza kuleta matatizo ya homoni pia.

Kwa hiyo ulipokuwa unasema, "Siwezi kuishi bila dawa," elewa jambo moja.

Hisia hiyo ilisababishwa na dawa yenyewe.

Sio kwa sababu mwili wako unahitaji dawa maisha yote.

Kwa nini antibiotiki hazikukusaidia, na haikuwa kosa lako.

Triple therapy (Tiba ya dawa tatu kwa pamoja) hutumia antibiotiki kama clarithromycin au metronidazole kuua H. pylori moja kwa moja. Kwenye mawazo ya kawaida, ukiua bakteria, kidonda kinapona.

Inaonekana rahisi.

Lakini kwa uhalisia, si rahisi hivyo.

Hizi antibiotiki hushambulia kwa njia moja tu ya kemikali. Njia moja. Wakati huo, bakteria hawakai kizembe wakisubiri kuuawa.

Ile Siri ya Kundi ikiwa inafanya kazi, bakteria hujipanga na kujifunika kama ngao.

Hiyo inaitwa biofilm.

Ni kama wanavaa koti la pamoja la kujilinda.

Antibiotiki zinaweza kuwafikia wale wa nje na kuwaua baadhi yao.

Lakini wale wa ndani wanabaki salama. Wamejificha. Hawajaguswa.

Ukimaliza dozi ya dawa, wale waliobaki hujipanga tena kwa kutumia ile Siri ya Kundi.

Wanajenga upya. Mashambulizi yanaanza tena. Maumivu yanarudi.

Na hali inakuwa ngumu zaidi.

Upinzani wa clarithromycin katika Afrika Mashariki unaongezeka.

Bakteria wanabadilika na kuzoea dawa.

Kwenye Hospitali ya Mbeya, karibu asilimia 69.8 ya wagonjwa hawakurudi kwa ufuatiliaji baada ya kuanza triple therapy.

Sio kwa sababu walipona. Bali walikata tamaa baada ya kuona haisaidii.

Halafu madhara ya dawa yalifanya mambo yawe magumu zaidi.

Ladha ya chuma mdomoni.

Kuharisha sana. Kichefuchefu.

Watu wengi waliacha dawa njiani.

Hilo lilifanya bakteria waliobaki wawe wagumu zaidi kuuliwa mara nyingine.

Kwa hiyo kama triple therapy haikukusaidia, tatizo si wewe.

Dawa ilikuwa inapigana na askari mmoja mmoja, wakati ile Siri ya Kundi ilikuwa inalinda jeshi lote nyuma ya ngao yao.

Silaha haikulingana na ulinzi wa adui.

Kwa nini dawa nyingine za mitishamba zilikuangusha.

Hili ni muhimu.

Kwa sababu mashaka uliyonayo kuhusu dawa za mitishamba yanaeleweka kabisa.

Soko la dawa za mitishamba Tanzania mara nyingi haliaminiki.

Watafiti walipokagua bidhaa 499 za mitishamba Dar es Salaam, ni 8 tu zilikuwa na usajili wa TMDA.

Nane tu kati ya karibu mia tano.

Hiyo ina maana bidhaa nyingi hazina ukaguzi wa ubora, hazijathibitishwa viambato vyake, na hakuna anayewajibika.

Baadhi ni utapeli wazi. Unatuma pesa, bidhaa haifiki. Au unaletewa chupa hujui ndani kuna nini.

Lakini hata kwa zile bidhaa halisi zenye viambato vya kweli vya mitishamba, bado kuna tatizo lingine.

Baadhi ya viambato hivyo vina uwezo wa kupambana na bakteria.

Propolis ina uwezo huo. Habbatus sauda pia. Manjano pia. Sayansi inaonyesha hilo ni kweli.

Tatizo ni hili.

Bidhaa nyingi hazielewi zinapigana na nini hasa.

Zinapeleka viambato vya kuua bakteria dhidi ya kundi lililojipanga, linalolindwa na ile Siri ya Kundi.

Dawa zinaweza kuwafikia bakteria wa nje na kuwaharibu kidogo.

Unahisi nafuu ya muda mfupi.

Lakini wale wa ndani, waliolindwa na ngao yao ya pamoja, wanabaki salama.

Baada ya siku chache wanajenga upya.

Maumivu yanarudi.

Halafu unaamua kusema ile bidhaa ilikuwa feki au haina maana.

Labda haikuwa feki. Labda viambato vilikuwa vya kweli.

Lakini mbinu ilikuwa si sahihi.

Kupeleka dawa dhidi ya kundi lililojipanga bila kuvuruga kwanza mawasiliano yao ni kama kupeleka wanajeshi vitani bila kuvunja ngome za ulinzi.

Dawa ilikuwa halisi.

Mpango ndio ulikuwa na tatizo.

Halafu kuna hizi dawa za maumivu, zile tunazoita NSAIDs.

Lazima nizitaje kwa sababu ni muhimu. Kama umekuwa ukitumia Mara Moja moja, APC, ibuprofen, au diclofenac kupunguza maumivu, tafadhali elewa zinachofanya.

Dawa hizi hupunguza utengenezaji wa kitu kinachoitwa prostaglandin.

Hicho ndicho kitu tumbo lako hutumia kujilinda na kujenga kinga kwenye ukuta wake.

Kwa hiyo, ukitumia dawa hizi kwa maumivu ya kidonda, ni kama umeondoa mafundi wa mwili wako waliokuwa wanarekebisha ukuta wa tumbo, wakati uharibifu unaendelea.

Maumivu yanapungua kwa muda mfupi. Lakini kidonda kinazidi kuwa kibaya.

Ulikuwa unaongeza kasi ya ugonjwa huku ukijaribu kuvumilia maumivu.

Sio kwa sababu wewe ni mjinga. Ni kwa sababu hakuna aliyekueleza ukweli huu wazi wazi.

Mpango Mpya

Sasa, nini hasa hufanya kazi?

Umeona mzunguko wenyewe.

Dawa ulizojaribu zililenga kitu kisicho sahihi. Kupunguza tindikali. Kuua bakteria mmoja mmoja. zilitibu juu juu. Hakuna iliyogusa ile Siri ya Kundi.

Kwa hiyo kundi liliendelea kujipanga tena kila baada ya kushambuliwa.

Jeraha likabaki wazi.

Na wewe ukaendelea kubaki kwenye mzunguko ule ule.

Sasa kuna njia ya Kuvuruga na Kusambaratisha Kundi la Bakteria ambapo inafanya jambo kitofauti kabisa.

Badala ya kupambana na tindikali au kuua bakteria moja kwa moja, unaanza kwa kuvuruga ile Siri ya Kundi yenyewe.

Unakata mawasiliano yao.


Hatua ya Kwanza

Kuvuruga Mawasiliano

Viambato maalum vya asili kutoka kwenye propolis na curcumin vinaingia tumboni na kuharibu ishara wanazotumiana.

Ni kama kukata simu za wezi. Bado wapo, lakini hawawezi kuwasiliana.

Hawajui washambulie lini. Hawajui wajilinde vipi.

Utafiti wa mwaka 2022 kwenye Frontiers in Microbiology ulionyesha viambato hivi vilipunguza uwezo wa H. pylori kujipanga kwa zaidi ya asilimia 70.

Siri ya Kundi inaanza kusambaratika.

Shambulio lao la pamoja linavunjika vipande vipande.

Hatua ya Pili

Kulinda Jeraha

Wakati mawasiliano yao yanavunjika, viambato laini kutoka kwenye aloe vera na mastic gum pamoja na asali vinafunika sehemu ya kidonda kama bandeji ya ndani.

Tindikali haiwezi kugusa moja kwa moja sehemu iliyo wazi.

Ule muwasho wa saa nane usiku unapungua.

Hiyo inalipa tumbo muda wa kuanza kupona chini ya ulinzi huo.

Hatua ya Tatu

Kuondoa Bakteria kwa Njia Nyingi kwa Wakati Mmoja

Sasa kundi limesambaratika na halijifichi tena.

Viambato vya asili kutoka kwenye propolis, habbatus sauda, na curcumin vinaanza kazi.

Tofauti na antibiotiki zinazoshambulia kwa njia moja, hivi hushambulia kwa njia tano hadi nane kwa wakati mmoja.

Vinaharibu ukuta wa bakteria. Vinazuia vimeng'enya. Vinakata njia zao za nishati. Vinavunja ile ngao yao. Mashambulizi kutoka pande nyingi kwa wakati mmoja.

Bakteria hawawezi kuzoea kirahisi kwa sababu wangelazimika kubadilika kwa njia zote hizo kwa wakati mmoja.

Hilo lina uwezekano mdogo sana.

Ndiyo sababu tiba za magonjwa kama HIV hutumia dawa nyingi kwa wakati mmoja, ili kiumbe kisipate nafasi ya kuzoea haraka.

Utafiti kwenye The Journal of Antimicrobial Chemotherapy ulithibitisha hili.

Mawasiliano yakivurugwa kwanza, dawa za kupambana na bakteria hufanya kazi kwa nguvu zaidi, kwa sababu ulinzi wa pamoja tayari umeanguka.

Wale bakteria waliovumilia antibiotiki zamani sasa wako wazi na hawajajipanga.

Hatua ya Nne

Kujenga Upya Tishu

Bakteria wakishadhibitiwa na uvimbe kushuka, mwili wako unaanza kujirekebisha.

Seli za tumbo, ambazo zilikuwa zinajaribu kurekebisha ukuta kila siku chache lakini zikizuiwa na mashambulizi ya kundi, sasa zinafanya kazi bila kukatizwa.

Sehemu zilizokuwa zimeharibika zinaanza kujifunga.

Ukuta wa tumbo unajengwa upya.

Ute wa kinga unarudi.

Jeraha linafungika kweli.

Hatua ya Tano

Kuimarisha Kabisa

Ukuta wa tumbo unakuwa imara tena.

Ulinzi wa ute unarudi kawaida.

Mzunguko wa damu katika eneo lililoharibika unakuwa sawa.

Tofauti na dawa za kupunguza tindikali, mpango huu hauzuii tindikali kwa nguvu.

Mwili wako unarudisha usawa wake pole pole bila kurudi kwa maumivu makali.

Hakuna mtego wa kutegemea dawa kila siku.

Jeraha limefungika.

Bakteria wameondoka.

Mawasiliano yao yamevunjwa.

Huhitaji dawa ya kila siku kwa sababu tatizo lililokufanya utegemee dawa halipo tena.

Muhimu Sana

Kwa nini mpangilio ni kila kitu.

Nataka uelewe jambo moja kuhusu huu mchakato.

Hatua zile tano nilizotaja haziwezi kuchanganywa ovyo.

Huwezi kuanza ya mwisho kwanza.

Huwezi kuruka moja.

Kila hatua inategemea ile iliyotangulia.

Huwezi kuua bakteria vizuri wakati ile Siri ya Kundi bado inawalinda nyuma ya ngao yao. Lazima uvuruge mawasiliano kwanza.

Huwezi kujenga upya tishu wakati tindikali bado inagusa jeraha lililo wazi. Lazima ulinzi uje baada ya kuvuruga mawasiliano.

Huwezi kurudisha ukuta wa tumbo katika hali yake ya kawaida wakati bakteria bado wapo na wanasababisha uvimbe. Lazima uwaondoe kwanza.

Na huwezi kupata ulinzi wa kudumu mpaka tishu zenyewe zimejengwa upya na ule ute wa kinga umerudi imara.

Bidhaa yoyote ya mitishamba inayotupa viambato vya kuua bakteria juu ya kundi lililojipanga, bila kuvunja mawasiliano kwanza, inaruka hatua ya kwanza halafu inashangaa kwa nini nafuu ni ya muda mfupi.

Dawa za kupunguza tindikali zinabaki kwenye hatua ya pili tu, bila kuendelea mbele.

Mpangilio ndio unaofanya huu mpango ufanye kazi.

Viambato ni muhimu, ndiyo.

Lakini utaratibu wa kuvifuata kwa mpangilio sahihi ndio unaofanya uponaji wa kudumu uwezekane.

Najua unachofikiria.

"Nimesikia maneno ya kupona kabisa mara nyingi. Kila bidhaa husema hivyo."

Uko sahihi. Na ni sawa kuwa na mashaka.

Kwa hiyo ngoja nieleze maana ya "kupona kabisa" kwa upande wa mwili, sio kwa maneno ya biashara.

Ile Siri ya Kundi ikivunjwa na bakteria kuondolewa, uvimbe unapungua.

Seli maalum za tumbo lako zinaanza kufanya kazi tena na kuzalisha seli mpya zenye afya.

Sehemu zinazoshikilia ukuta wa tumbo pamoja zinajengwa upya.

Ule ute wa kinga unarudi katika hali yake ya kawaida.

Ukuta wa tumbo unajirekebisha kabisa mpaka ngazi ya seli.

Ujenzi huo ukikamilika, hakuna jeraha la tindikali kuunguza.

Hakuna kundi la bakteria linalotuma ishara za kushambulia.

Hakuna mtandao wa mawasiliano wa kujipanga tena.

Tatizo lililosababisha dalili zako linakuwa limeondoka. Halijafichwa. Halijatulizwa tu. Limeondoka.

Huhitaji dawa ya kila siku kwa sababu hakuna kilichobaki cha kutibiwa.

Asubuhi inaanza na chai, sio vidonge.

Na hiyo si hali ya muda mfupi unayoendelea kuilipia kila mwezi.

Ni mwisho wa mchakato wa mwili ulioshughulikia kila kitu kilichokuwa kinakufanya uugue.

Shuhuda Halisi

Sasa, ngoja nikushirikishe uzoefu wa baadhi ya watu waliopitia mchakato huu.

Mama Neema
Mbeya

Mama Neema kutoka Mbeya alikuwa ametumia Omeprazole kwa miaka mitatu. Kila asubuhi, kabla hata hajafanya kitu kingine, alikuwa anakunywa kidonge. Aliniambia alikuwa amesahau kabisa ule uzoefu wa kuanza siku bila dawa.

Wiki ya pili tu baada ya kuanza kujitibu kwa njia hii mpya, aligundua ule muwasho wa saa nane usiku ulikuwa umekoma. Wiki ya nne, alikuwa anakula maharage na pilipili bila kujiandaa kwa maumivu baadaye.

Baada ya wiki sita, alinipigia simu na kuniambia kuna jambo alilogundua. Hakuwa amenunua Omeprazole kwa zaidi ya mwezi mmoja. Sio kwa sababu alikuwa anajifanya shujaa. Bali kwa sababu alisahau kuwa aliwahi kuhitaji dawa hiyo kila siku.

Ugonjwa haukuwa tena sehemu ya maisha yake.

Joseph
Tabora

Joseph, mkulima wa tumbaku kutoka Tabora, alikuwa ametumia zaidi ya laki nane kununua dawa tofauti za mitishamba kwa miaka miwili. Hakuna hata moja iliyomsaidia zaidi ya siku chache.

Aliniambia wazi kabisa, "Nilidhani mitishamba yote ni uongo."

Alikubali kujaribu Tiba Herbs kwa sababu kaka yake, aliyekuwa ameanza kuitumia kwanza, alikuwa haachi kuisimulia kila mara.

Siku ya tano tu, yale maumivu ya ndani yaliyokuwa yakimtafuna kwa miezi 18 yalianza kupungua. Wiki ya tatu, alikuwa anakula kawaida bila hofu.

Mwezi wa kwanza, aliongeza kilo nne za uzito. Chakula kilirudi kuwa lishe tena, sio kitu cha kuogopa.

Rehema
Dodoma

Rehema, mwalimu kutoka Dodoma, alikuwa hawez kusimama darasani siku nzima. Maumivu na uchovu vilimlazimisha kukaa kila mara. Wanafunzi wake waliona. Mwalimu mkuu pia aliona. Alikuwa anaogopa kupoteza kazi yake.

Alipoanza kutumia Tiba Herbs. Wiki ya pili, alianza kuhisi mabadiliko. Alisema, "Niliamka asubuhi na kuhisi tofauti. Kama mtu amelala kwa kweli kwa mara ya kwanza."

Wiki ya nne, alikuwa anasimama tena darasani na kufundisha bila kulazimika kukaa kila dakika. Mwalimu mkuu wake alimuuliza nini kimebadilika. Akamweleza.

Baraka
Kigoma

Baraka kutoka Kigoma alijaribu tiba ya hospitalini mara mbili. Kila mara alishindwa kumaliza dozi kwa sababu ya madhara ya dawa. Na kila mara, ndani ya wiki chache, maumivu yalirudi.

Aliniambia alikuwa ameshakata tamaa kuishi bila ugonjwa huo. Alijieleza kama, "kijana anayeishi maisha ya mzee."

Baada ya kumaliza dozi kamili ya Tiba Herbs, alisema jambo la ajabu zaidi halikuwa tu maumivu kuondoka. Ilikuwa ni hofu kuondoka.

Aliacha kuhesabu kichwani atakula nini na nini asile. Aliacha kubeba dawa za ENO kila mahali kama mwavuli wa dharura. Aliacha kuamka na wasiwasi kila usiku akijiuliza, "Leo itakuwa usiku mbaya?"

Ugonjwa haukuwa umeathiri tumbo lake tu. Ulikuwa umechukua kujiamini kwake.

Saidi
Morogoro

Saidi kutoka Morogoro alikuwa na mashaka kuliko wote. Aliniambia karibu asiaagize kwa sababu, "kila bidhaa inasema inaponya kabisa."

Kilichomshawishi ni maelezo kuhusu ile Siri ya Kundi. Alisema, "Kwa mara ya kwanza mtu alieleza KWA NINI dawa nyingine hazikufanya kazi. Si tu kusema yake ni bora."

Baada ya kumaliza dozi ya Tiba Herbs, amekaa miezi mitatu bila kutumia dawa yoyote. Sasa anawaambia watu kuhusu Tiba Herbs kila anapopata nafasi. Sio kwa sababu kuna mtu alimlazimisha. Bali kwa sababu katika jamii yake, ukipona, unakuwa na hadithi ya kusimulia.

Sasa hivi, naamini umeelewa mambo mawili.

Kwanza, kwa nini mambo yote uliyojaribu hayakufanikiwa. Sio kwa sababu yako. Bali kwa sababu hakuna hata moja iliyolenga ile Siri ya Kundi, ule mfumo wa mawasiliano wa bakteria uliokuwa ukilifanya jeraha libaki wazi na kundi lijipange tena kila baada ya kushambuliwa.

Pili, kwa nini Mpango wa Kuvuruga Kundi umefanya kazi pale ambapo mengine hayakufanya. Kwa sababu ndio njia inayovuruga mawasiliano kwanza, kisha inaondoa bakteria waliobaki kwa njia nyingi kwa wakati mmoja, halafu inaupa mwili wako nafasi ya kujenga upya na kuimarisha ukuta wa tumbo kwa kudumu.

Sasa swali ni la vitendo. Unawezaje kuanza kutumia hili kwenye mwili wako kuanzia wiki hii?

Hapo ndio Tiba Herbs inaingia.

Tiba Herbs

Sasa, Tiba Herbs ni nini?


Ni utekelezaji kamili wa ule Mpango wa Kuvuruga Kundi la bakteria, umewekwa kwenye mchanganyiko wa mitishamba ya asili. Kila kitu nilichoeleza, zile hatua tano kuanzia kuvuruga mawasiliano, kuondoa bakteria, kujenga upya tishu, mpaka kuimarisha kabisa, vyote vimepangwa ndani ya bidhaa hii moja.

Unaitumia tu. Mwili wako unapitia kila hatua kwa mpangilio wake. Huna taratibu ngumu za kufuata. Huna miadi ya madaktari wa aina maalum. Huna foleni za hospitali. Huna kipimo cha ndani ya tumbo ambacho gharama yake inakutisha.

Una chaguo mbili. Unachagua linalofaa hali yako.

Chagua Dozi Yako

Chaguo Mbili. Unachagua Linalofaa Hali Yako.

Chaguo la 1: Dozi ya Kuanzia (Nusu Dozi)
Siku 14
Tsh 95,000

Hii ni dozi ya siku 14 inayofunika hatua tatu za kwanza za uponaji. Kuvuruga ile Siri ya Kundi kunaanza. Jeraha linaanza kulindwa. Kuondoa bakteria kunaanza pia.

Kwa watu wenye vidonda vya tumbo vya kiwango cha chini au cha kati, au wale waliokaa na tatizo hili chini ya mwaka mmoja, wiki mbili zinaweza kuonyesha mabadiliko ya kweli. Utahisi maumivu yanapungua. Utalala vizuri zaidi. Utagundua chakula hakiadhibu tumbo lako kama ilivyokuwa kabla.

Sababu ya kuwa na chaguo hili ni kwa sababu najua umeumizwa na ahadi za nyuma. Umetoa pesa kwa mambo yaliyoishia hewani. Kuanzia hapa kunakupa nafasi ya kuona kinachotokea ile Siri ya Kundi inapovunjika, bila kuweka pesa nyingi hatarini.

Hebu tuangalie Tsh 133,000 kwa jicho lingine.

Kama sasa unanunua Omeprazole kila mwezi kwa Tsh 6,000 hadi 15,000, unaongeza sacheti za antacid mara kadhaa kwa wiki kwa Tsh 500 kila moja, unaenda hospitali mara kwa mara kwa Tsh 15,000 hadi 30,000 kwa kila ushauri, halafu tayari umetumia laki 6 hadi laki 8 kwa dawa za mitishamba ambazo hazikusaidia, gharama ya kuendelea bila kupona kabisa inafika kati ya Tsh 200,000 hadi Tsh 1,000,000 kila mwaka. Kila mwaka. Maisha yote.

Tsh 133,000 mara moja, kukata mzunguko kabisa, si matumizi ya kawaida.

Ni ununuzi wa mwisho wa matibabu kwa tatizo hili.

Zawadi za Ziada

Ukichukua Dozi Kamili Nakupa Na Zawadi Zifuatazo

Zawadi ya 1
Mpangilio Sahihi wa Chakula
Thamani yake Tsh 25,000. Unapata bure ukichukua Dozi Kamili.

Huu ni mwongozo kamili wa chakula, umeandaliwa kwa vyakula vya Tanzania na bajeti za hapa hapa nyumbani, kwa siku zako 30 za uponaji.

Sababu ya kuutoa ni hii. Watu wengi wenye vidonda vya tumbo wanachanganyikiwa sana kuhusu chakula. Kila siku orodha ya "vyakula salama" inapungua. Unaishia kula vitu vile vile tu mpaka unachoka.

Ushauri wa jumla kama "epuka pilipili" haukuambii ule nini, ule saa ngapi, au chakula fulani kinafanyaje kazi kwenye kila hatua ya uponaji.

Mwongozo huu wa Chakula utakuonyesha wazi.

Ni ndizi zipi na namna gani ya kuzipika inasaidia kujenga upya ukuta wa tumbo. Ni aina gani ya maharage yanakuwa salama kwa tumbo lako. Ni mboga zipi zinasaidia kuimarisha ule ute wa kinga. Jinsi ya kupika ugali na mboga zake kwa namna inayosaidia uponaji badala ya kuleta shida.

Pia kuna ratiba ya wiki ya tatu na ya nne inayokuonyesha lini na kwa namna gani uanze kurudisha vyakula ulivyokuwa unaogopa. Pilipili. Nyama choma. Chipsi mayai. Unaanza kula tena kwa kujiamini, sio kwa hofu.

Mwongozo huu peke yake unaweza kukuokoa miezi mingi ya kujinyima chakula bila sababu.

Joseph kutoka Tabora aliniambia mwongozo huu wa Chakula ndiyo uliyomfanya ajisikie mtu wa kawaida tena wakati wa matibabu. Alisema kula chakula halisi huku akiendelea kupona kulihisi kama anarudishiwa maisha yake taratibu, sio kusubiri tu siku moja yatokee.

Zawadi ya 2
Mwongozo wa Kuacha Kutegemea Dawa
Thamani yake Tsh 20,000. Unapata bure ukichukua Dozi Kamili.

Kama sasa unatumia Omeprazole, Cimetidine, au dawa nyingine ya kupunguza tindikali kila siku, huwezi kuacha ghafla tu.

Ukiacha mara moja, mwili unaweza kuzalisha tindikali nyingi zaidi kuliko mwanzo.

Maumivu yanaweza kurudi kwa nguvu na kukufanya urudie vidonge tena, ukiamini mwili wako unavihitaji.

Hii zawadi ni muhimu kwa sababu lengo la Mpango wa Kuvuruga Kundi ni kukuondoa kwenye dawa za kila siku kabisa. Lakini kuacha lazima kufanywe kwa mpangilio sahihi.

Mpango wa Kuacha Kutegemea Dawa ni mwongozo wa siku kwa siku. Unakuonyesha namna ya kupunguza dawa yako pole pole kwa usalama wakati Tiba Herbs inaendelea kufanya kazi. Unaelezwa nini utahisi katika kila hatua, na ni ishara gani zinaonyesha tumbo lako linaanza kurudi katika hali yake ya kawaida ya kutengeneza tindikali.

Kwa kawaida, hakuna daktari atakayekupa mpango huu kwa sababu mfumo wa kawaida wa matibabu hudhani utaendelea na dawa hizi kwa muda mrefu. Mpango huu unaamini unaweza kuacha.

Mama Neema kutoka Mbeya aliniambia zawadi hii ndiyo iliyompa ujasiri wa kuacha Omeprazole baada ya miaka mitatu. Aliufuata siku kwa siku na akasema mabadiliko yalikuwa laini kuliko alivyowahi kufikiria.

Zawadi ya 3
Mwongozo wa Dharura wa Saa 8 Usiku
Thamani yake Tsh 15,000. Unapata bure ukichukua Dozi ya Kuanza au Dozi Kamili.

Tuongee ukweli kidogo. Wiki ya kwanza unaanza matibabu. Uponaji umeanza. Lakini umeishi na hali hii muda mrefu, unajua bado kunaweza kuwa na usiku mbaya.

Huu ni mwongozo mfupi unaosomwa kwenye simu yako gizani ukiwa umeamka nusu usingizi na una maumivu.

Unakuonyesha hatua tano za haraka unazoweza kufanya kwa kutumia vitu vya kawaida vya nyumbani, ili kutuliza maumivu ya usiku bila kukimbilia antacid au dawa za kupunguza tindikali ambazo zinaweza kuharibu maendeleo ya uponaji.

Sababu ya kuwepo kwa mwongozo huu ni kwamba sehemu ngumu ya kuacha kutegemea dawa ni kuvumilia zile siku ambazo mazoea yako ya zamani yanakushawishi urudi kwenye vidonge.

Mwongozo huu unakuvusha hizo nyakati.

Rehema kutoka Dodoma aliniambia aliutumia mara tatu katika wiki ya kwanza, na kila mara maumivu yalipungua ndani ya dakika chache. Wiki ya pili hakuhitaji tena. Lakini alisema kujua tu uko kwenye simu yake kulimfanya ajisikie salama wakati wa mpito.

Kwa yote unayopata leo

Una kila kitu unachohitaji kuponya kidonda cha tumbo kwa kudumu, kuacha dawa za kila siku, na kurudi kwenye maisha ambayo ugonjwa huu ulikuwa umekunyima.

Kuanzia kuvuruga ile Siri ya Kundi, kujenga upya ukuta wa tumbo, hadi kula kwa uhuru tena. Kila kitu kipo mikononi mwako.

Fikiria hivi.

Kwa thamani ya jumla ya Tsh 250,000 kwa Dozi Kamili pamoja na zawadi tatu, fikiria ikiwa Tiba Herbs itafanya jambo moja tu kwa ajili yako, ni kuondoa ule muwasho wa saa nane usiku ili uweze kulala bila kuamka kwa mara ya kwanza baada ya miezi mingi, je, Tsh 133,000 ingetosha?

Ningesema ndiyo.

Kwa sababu kukosa usingizi kwa muda mrefu kwa sababu ya maumivu ya vidonda si tu kukuchosha. Kunapunguza uwezo wa kinga yako, kunapungua umakini wako, kunakuathiri kazi, na kunakuumiza maisha yako ya nyumbani.

Kulala usiku kucha kunaupa mwili wako nafasi ya kupona na kunarudisha maisha yako kazini na nyumbani. Hilo peke yake lina thamani zaidi ya unalolipa.

Ikiwa Tiba Herbs ikikuondoa kwenye mzunguko wa utegemezi wa Omeprazole na ukasahau kununua kidonge kila siku maisha yako yote, ingekuwa ya thamani?

Ndiyo. Hesabu za pesa peke yake zinaonyesha hilo. Omeprazole inakugharimu Tsh 72,000 hadi 180,000 kwa mwaka, kila mwaka, wakati kidonda kiko wazi chini. Tsh 133,000 mara moja kuishia mzunguko huo ni uamuzi wa busara kifedha kwa afya yako.

Ikiwa Tiba Herbs ikakuwezesha kula huru tena, kuhudhuria harusi bila kuhesabu masaa, kushiriki mlo na familia bila hofu, na kupika kile unachotaka, ingekuwa ya thamani?

Bila shaka. Kuzuia chakula si tu usumbufu wa mlo. Ni gereza la kijamii. Kila mlo uliyouacha, kila mkusanyiko ulioutoka mapema, kila sababu uliyotumia, vimekupotezea mambo yanayogharimu zaidi kuliko pesa. Kurudisha hayo ni thamani kubwa kuliko Tsh 133,000.

Lakini leo, ukijaza fomu ya kuagiza hapa chini, unapata yote haya.

Dozi Kamili ya Tiba Herbs. Mwongozo wa Chakula. Mwongozo wa Kuacha Kutegemea Dawa. Mwongozo wa Dharura wa saa nane usiku.

Thamani yote ni Tsh 250,000, kwa leo ni Tsh 133,000 tu.

Unaokoa Tsh 117,000.

Au anza na Dozi ya Kuanzia kwa Tsh 95,000 na uone mwenyewe kuvuruga ile Siri ya Kundi ndani ya siku 14.

Dhamana yetu kuu: "Upone au Pata Dawa Nyingine Bure"

Hata huitaji kusema ndio leo, unaweza kusema "labda".

Kama utajaza fomu ya kuagiza, pesa yako inalindwa na dhamana yetu ya "Upone au Tutakupatia dozi nyingine Bure usipoona mabadiliko".

Anza Sasa. Fuata maelekezo rahisi ya dozi.

Kama mwishoni mwa matibabu hauhisi tofauti kubwa kwenye maumivu, usingizi, uwezo wako wa kula vyakula uliokuwa ukiepusha, au uwezo wako wa kuacha dawa za kila siku, tuambie. Tutakusaidia mpaka uridhike.

Umesha athirika kabla. Umetumia pesa kwenye ahadi ambazo hazikutimiza. Tunatambua kwanini una mashaka.

Dhamana hii ipo kwa sababu tumeona nini kinatokea ile Siri ya Kundi inapovunjika.

Tumeshuhudia matokeo kwa mamia ya watu.

Tunataka wewe pia uone matokeo bila hatari yoyote kwako.

Agiza Sasa

Jaza fomu ya kuagiza hapa chini.

Au kama una uhitaji wa haraka nipigie kwa namba: 0698659225

Mzigo wako tunatuma siku hiyohiyo na unafika kwenye stendi ya basi iliyo karibu nawe, popote ulipo Tanzania. Dar es Salaam. Mbeya. Arusha. Dodoma. Kigoma. Tabora. Zanzibar. Popote ulipo.

Malipo yote ni kwa njia ya Airtel Money: 0698659225 (ALANU KOBELO)

Utafanyiwa Free delivery popote utakapokuwa Ndani ya Tanzania. Hii inamaanisha gharama za kusafirisha mzigo mpaka kukufikia ulipo ni juu yangu.

📍 Kwa Mtu Wa Dar es Salaam

Hutakiwi kutuma hela kwasababu utaletewa mpaka popote utakapokuwa kwa gharama zangu mwenyewe halafu baada ya kupokea mzigo wako ndipo utakapofanya malipo.

📍 Kwa Mtu Wa Mkoani (Nje ya Dar)

CHAGUO NAMBA 1:

Unalipia kwanza 20,000 kwenye namba ya AIRTEL-MONEY niliyokupatia hapo juu, ili tuweze kusafirisha dawa yako mpaka mkoa uliopo, dawa ikishafika utamalizia kiasi kilichobaki, kama umechukua Nusu dozi utamalizia 75,000. kama umechukua dozi kamili utamalizia 113,000 Pale dawa itakapofika.

CHAGUO NAMBA 2:

Kama unahisi mpaka pale dawa itakapokufikia unaweza jikuta umetumia hela ya kumalizia,unaweza lipia pesa kamili,kama unachukua nusu dozi unalipia 95,000 au kama unachukua dozi kamili unalipia kabisa 133,000. Kuna watu analipia kianzio na ukishamtumia dawa,hatupi ushirikiano tena hata wiki,ndio anakuja kueleza alitumia hela. Kwa hiyo kama unahisi una mambo mengi hili chaguo ni lako.

Hakuna sababu ya kuendelea kuamka saa nane usiku na maumivu.

Hakuna sababu ya kuendelea kununua vidonge kila mwezi vinavyotuliza muwasho tu wakati jeraha liko wazi chini.

Hakuna sababu ya kuendelea kupunguza chakula chako, maisha yako ya kijamii, nguvu zako, kujiamini kwako, na mipango yako ya baadaye mwezi baada ya mwezi.

Unaweza kubadilisha hayo yote kwa Tiba Herbs.

Tunatengeneza Tiba Herbs kwa makundi maalum ili kulinda ubora wa viambato na nguvu yake ya matibabu.

Kundi la sasa linahudumia dozi 150 tu.

Likijaa, uzalishaji unaofuata huchukua wiki 3 hadi 4.

Na punguzo la asilimia 30 kwa Dozi Kamili linapatikana kwa kundi hili la sasa tu.

Kundi lijalo litarejea bei ya kawaida ya Tsh 190,000.

Kidonda chako hakisubiri muda mzuri ili kiharibike zaidi.

Wastani wa umri wa wagonjwa wanaopata tundu tumboni Tanzania ni miaka 28 na kuendelea.

Kila wiki unayoahirisha ni wiki ambayo jeraha linaweza kuongezeka, kundi la bakteria linajipanga zaidi, na gharama ya matibabu ya baadaye inaongezeka.

Umetumia miezi au miaka kununua muda kwa suluhisho za muda mfupi.

Tsh 133,000 inakupa njia ya kutoka kabisa.

Au anza na Tsh 95,000 na uhisi mabadiliko ndani ya siku 14.

Kwa njia yoyote, leo unachukua hatua ya kwanza.

Jaza Fomu ya Kuagiza Sasa

Mzigo wako tunatuma siku hiyohiyo.